Translate

Saturday 28 December 2013

Suala la Kuenea kwa Maambukizi ya UKIMWI TEKU

Samahani wadau, mnalizungumziaje suala la maambukizi ya UKIMWI katika taasisi yetu ya TEKU?
Je, Ni kweli yapo????
Je, Kuna waathirika Hapa?
na Je, tunajikinga vipi kama kizazi kilicho katika janga hili?

76 comments:

  1. Maambukizi yapo jamani na tunatakiwa kuwa makini na tujihadhari vilivyo kwani tutakufa tuishe sote. Ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha usalama wa kila mmoja kwanza kwa kujihami mwenyewe kisha kuifikia jamii nzima.

    ReplyDelete
    Replies
    1. its
      NGILANGWA, FESTO.
      TEKU/ BEL/ KE/ 111069

      Delete
  2. It is true that in the world of this era, HIV/AIDS is vagabonding every where and to every body thus every one has to be careful on this worse and killing disease.................
    JAMES DAUDI M,TEKU/BEL/KE/11975

    ReplyDelete
  3. Ni kweli tatizo hili lipo, jambo la msingi ni kujilinda kabla ya kulindwa na pia kutoa elimu ya kutosha kwa jamii inayotuzunguka ili kuliepuka lisisababishe madhara makubwa zaidi!
    REUBEN AMAN
    TEKU/BEL/KE/111085

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maambukizi ya virusi vya UKIMWI yapo tena kwa asilimia 100% kwenye jumuhiya yoyote siyo TEKU pekee, suala la msingi ni kutambua uwepo wa mwenyez mungu na kupata elimu ya kutosha jinsi ya kujikinga na maambukizi hayo.KIMBE ANNA TEKU/BEL/KE/11993

      Delete
    2. Hizo takwimu za 100% ni za lini dada Anna??
      RAMADHANI JAMAL TEKU/BEL/KE/111081

      Delete
  4. Maambukizi yapo,tena yakutisha,muhimu kujichunga na kucheza salama.
    KILLO FABIAN,TEKU/BAED/GK/11224

    ReplyDelete
  5. may be
    CHALE CHARITY TEKU/BEDCP/101469

    ReplyDelete
  6. may be what Chale? Please be specific. we need to know the extent of it around our area

    ReplyDelete
  7. HIV is something avoidable if a person comes seriously to combat it.
    NGOJWIKE SALUMU TEKU/BEL/KE/111070

    ReplyDelete
  8. Only stable mind, self protection and God's dependence can be only the remaining solution. the disease is all over the campus.
    TEKU/BEDCP/111466 MEDARD JOSEPH.

    ReplyDelete
  9. kweli jamani tunaangamia tusipo jiheshimu kama wasomi tamaa zimezidi miongoni mwa wanafunzi Mungu atusaidie TEKU/BEDCP/111540.

    ReplyDelete
  10. Ni kweli maambukizi yapo tena kwa kasi kubwa na waathirika ni sisi sote wanachuo na taifa kwa ujumla. njia tunazo tumia kujikinga na janga hili ni kukontroo tamaa zetu, kutumia kondom, kuwa muaminifu kwa mpenzi wako na muda mwingine kuachana na ngono tu. SWALLOW NESTORY TEKU/BEDCP/111540.

    ReplyDelete
  11. Maambukizi ya ukimwi yapo kwa kiasi kikubwa,tunachotakiwa kufanya wanajumuia wa Teku ni kujizuia kufanya ngono, kuwa waaminifu kwa wapenzi wetu na ikishindikana kabisa tutumie kondom.
    ISSA HASHIM-TEKU/BAED/GK/11195

    ReplyDelete
  12. Wapendwa maambukizi yapo, tunatakiwa kuwa makini sana kwani unaweza kumtazama mtu ukaona yuko vizuri na ukamuelewa kumbe akawa na siri kubwa ambayo ukienda haraka tu atashindwa kukupa ukweli. hivyo vijana tuwe makini na tujihadhari vilivyo

    ReplyDelete
  13. katika jumuhia yoyote kuna kila aina ya fujo au kuwa dunia uwanja wa fujo lakini mambo mengine ni magumu kuelezea kama maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa sababu kunahitajika majibu ya kitaalamu kutoka hospitalini kwa kuonesha takwimu za waathirika hivyo sisi kama wasomi tutumie busara katika KUTOA majibu yaliyo sahihi tusije kutoa majibu yasiyo sahihi kwani twaweza kupotosha jamii kwa upande mwingine kuwa teku na HIV ni damu damu. Na angalizo weWE kama umeathirika ruksa kusema lakini usiisemee jamii kwani hii ni kesi na kumbuka kuwa teku ni sehemu ya biashara ya watu so usiharibu.asante ila mie niko salama nilipima tarehe 17/12/ 2013.
    NTALALA JOHNSTONE
    TEKU/BAED/GK/11283

    ReplyDelete
  14. ndugu ZANGU katika kristo tunatambua kuwa katika kila jamii pana kila aina ya fujo kwani dunia uwanja wa fujo lakini uwezi kusema moja kwa moja kuwa kuna maambukizi ya ukimwi pasipo uthibitisho wa kitaalamu hivyo tumia busara katika kutoa majibu kwani kufanya hivyo utakuwa mmojawapo katika kumisuse technolojia. kuwa wapole kwani TEKU ni sehemu ya bihashara za watu so ogopa kesi na kupotosha jamii. jambo la muhimu kapime na mweshimu mungu. asante sana mie nimepima tarehe 17/12/2013 na niko salaama.
    NTALALA JOHNSTONE
    TEKU/BAED/GK/11283

    ReplyDelete
  15. Caution to my fellow studentz! Change your mind toward sexxxx! Nowdayz girlz who are career of HIV are xo much decorated. So' dont focus to share love with such of these girl without full worn of soks and dont stay with her whole the night. Ngojwike salumu teku/bel/ke/111070

    ReplyDelete
  16. TEKU without HIV/aids is possible please wait or use condoms. Samwel lucy. teku/ bel/ke/111089

    ReplyDelete
  17. Bila kutambua uwepo na kumuogopa mungu tumekwisha jamani, maana takwimu zinaonesha kuwa kila palipo na watu kumi mmoja ameathiri swali la kujiuliza teku tuko wangapi???

    ReplyDelete
  18. Wala hata usiogope ntalala linda damu yako vivyo hivyo, kila mtu achukue tahadhari na atambue kwamba mungu yupo na amuogope mungu bila hivyo ni hatari tupu, jambo la msingi nikumuona kila mtu ameathirika ili kuepuka dubwana hili ambalo ni tishio kwa taifa na dunia kwa ujumla.

    ReplyDelete
  19. HIV is not problem but problem iz to those who are looking for it ergerly.

    ReplyDelete
  20. ni kweli yapo na hasaa penye JUMUIA kama hii ya kwetu cha muhimu tufuate maadili tu ya kijamii,na taratibu za kiafya hasa kupambana na maambukizi mapya ya VVU

    ReplyDelete
  21. HATUWEZI KUKWEPA TEKU KAMA ZILIVYO JAMII NYINGINE INA KILA AINA YA TABIA AMBAZO ZIMO KATIKA JAMII NYINGINE KWAHIYO HATA MAAMBUKIZI YANAWEZA KUWEPO. NA UKWELI NI KWAMBA YAPO NI JUKUMU LA KILA MMOJA BINAFSI KUJILINDA ILI KUINUSURU FAMILIA YAKE, JAMII YAKE NA TAIFA LAKE KWA UJUMLA. HERI SHANGWE .K. TEKU/BEDCP/111423

    ReplyDelete
  22. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  23. Badili tabia kabla ya kuingia kwenye mahusiano chunguza afya yako kwanza ili uweze kumlinda umpendaye.Kuna watu wanakata tamaa ya kuishi wanaposikia wapenzi wao walipoteza maisha kwa maambukiz, si kila anayetembea na mwenye maambukiz naye kapata maambukiz.KIMBE ANNA TEKU/BEL/KE/11993

    ReplyDelete
  24. maambukizi ya ukimwi teku yapo tena kwa asilimia 76.64 ivyo basi kama wanajumuia yaTEKU yatupasa tujilinde wenyewe kwa vile tujuavyo kama watutulielimika BRUNO FORTUNATUS --TEKU/BAED/GK/11172

    ReplyDelete
  25. Do not wait till some one touch your shoulder and tells you to be careful with HIV/AIDS here at TEKU. Take your responsibility to protect yourself, the HIV is present at TEKU, because TEKU is like a community comprising a diverse number of people. FRANK SWEETBERT TEKU/BEDPSY/111136

    ReplyDelete
  26. Every one should take care of him or herself...mbona hata majumbani na mitaan tulikotoka mdudu yupo

    ReplyDelete
  27. ni kuwa makini tu....ngoma is every where....teku/baed/hk/11707

    ReplyDelete
  28. Wakati fulani unaweza kujilaumu kwa mambo hatarishi uliyoyafanya kwa kipindi kilichopita. Lakini suala la msingi siyo kujilaumu, bali kaa miezi sita mfululizo bila kufanya ngono, halafu kapime. Kama umeathirika, kubaliana na hali halisi na kama uko salama utajuwa namna ya kuishi. Usiishi bila amani katika maisha yetu haya mafupi. MEDDA SELESTINE, R. TEKU/BEL/KE/111028.

    ReplyDelete
  29. UKIMWI- Upungufu Wa Kinga Mwilini, Takwimu zinaonesha kati ya watu 10 mmoja hadi wawili wanao na TEKU kama taasisi ya watu UKIMWI upo kwa kiwango kikubwa tu, (2) Kama Teku UKIMWI upo basi waathirika wapo (3) Kwanza watu wapime kujua afya zao, mbili watu waache masikhara UKIMWI upo na unaua"""take care of yourself"".
    ALLY MOHAMED, REG NO TEKU/BEDCP/111395.

    ReplyDelete
  30. UKIMWI upo kila mahali ambapo kuna watu na TEKU ikiwepo,watu wapime ili wajue afya zao na wasiishi kwa mashaka, TAKE CARE OF YOURSELF.

    ReplyDelete
  31. Ukimwi TEKU upo jamani,tuwe macho kwani huwezi mtambua mgonjwa wa ukimwi kwa kumtazama kwa macho hivyo tuwe makini.
    MKOMWA CECILIA.S TEKU/BEDCP/111472

    ReplyDelete
  32. Jamii hii ni kubwa sana na hivyo, uwezekano wa kuwepo kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi ni mkubwa sana. cheza salama tafadhali
    LWESYA RAZACK
    TEKU/ BEDMATHS/ DM/ 1113

    ReplyDelete
  33. Kuna uvumi jamani, uwepo wa uvumi hupelekea kuwepo ukweli, hivyo jihadhari. imani yaa mmoja mmoja itasaidia sana kutuweka salama.
    OMARY USAKU
    TEKU/ BEDCP/ 111517

    ReplyDelete
  34. UKIMWI UPO, TUJITAHIDI KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA DUNWANA HILI WANA TEKU
    TEKU/ BEDCP/ 111460

    ReplyDelete
    Replies
    1. MBEGU TATU
      TEKU/ BEDCP/ 111460

      Delete
  35. in my view in this time we live now we need to be head headed coz life is change alot and only way to solve this pandemic is by us to consider our future life
    MCHOME CHARLES
    TEKU/BEDCP/ 111465

    ReplyDelete
  36. HIV/AID at Teku can be protected if all University Student should respect themselves and respect others and maintaining reputation on their behavior, also can be protected when partners using condom when participating in sex intercourse and to avoid have multiple relationship. WILLIAM AGNES
    TEKU/BEDPSY/111266

    ReplyDelete
  37. Ukimwi ni ugonjwa ambao unasumbua sana katika taasisi za elimu ya juu na kinachofanya tatizo hili kuwa kubwa ni kutokana na wasomi kudhalau kama ukimwi upo na una madhara makubwa katika jamii. hivyo wanajamii ya TEKU tuwe makini katika kupambana na tatizo hili. Na NTUMBITUMBI MOHAMEDI TEKU/BAED/GK/11284

    ReplyDelete
  38. Ni kweli tatizo la ukimwi lipo katika taasisi ya elimu, sababu ya tatizo kuwa kubwa linatokana na wasomi wengi kukosa elimu ya ushauri nasaha na kujitambua katika jamii umuhimu wao na majukumu yao. MASUA NEEMA TEKU/BEDCP/111458

    ReplyDelete
  39. Si kweli teku hakuna Ukimwi

    ReplyDelete
  40. Tuweni makini Ukimwi Upo

    ReplyDelete
  41. Ukimwi Upo jamani tuweni makini

    ReplyDelete
  42. hahaa.tena ndo kwanza unapamba moto;kwahiyo wale tulio katika ndoa utulie na wale tusio ktika ndoa tutafute wenza waaminifu na tupime kabla ya kuowana.asenteh.MLUNGU ISRAEL TEKU-BAED-GK-11255

    ReplyDelete
  43. Ni kweli kabisa ukimwi upo, lakini watu hawashtuka, tuweni makini sana. JAMES PATRICIA TEKU/BAED/GK/11203

    ReplyDelete
  44. Ukimwi ni hatari tuwe makini sana, tunapotea. CHAVALA LEONIDE TEKU/BAED/GK/11177

    ReplyDelete
  45. Wasomi tuwe makini maana ukimwi TEKU upo kuweni makini sana. KONDONGELE VERONICA TEKU/BAED/GK/11216

    ReplyDelete
  46. TEKU ukimwi upo jamani tutakwisha kabla ya wakati. MWAIGOMOLE FRIDA TEKU/BAED/GK/11267

    ReplyDelete
  47. UKIMWI NI HATARI SANA TUWE MAKINI JAMANI NGOMANGO TEGEMEA TEKU/BAED/HK/10686

    ReplyDelete
  48. TEKU UKIMWI UPO JAMANI NA UNATISHA SANA KATIKA JAMII YA WASOMI, MUHIMU KUWA MAKINI. JAMES SIMON TEKU/BEDMATH/DM/11080

    ReplyDelete
  49. TEKU UKIMWI NI JANGA MAANA WASOMI WENGI HAWAAMINI KUWA UKIMWI NI TATIZO HIVYO ELIMU ZAIDI ITOLEWE KATIKA JAMII YA WASOMI. MWAMJABILA GRIPHIN M TEKU/BAED/GK/10608

    ReplyDelete
  50. NI KWELI UKIMWI NI TISHIO TUJIADHALI NAO SANA. MCHOME HELENA K. TEKU/BAED/HK/11745

    ReplyDelete
  51. UKIMWI NI JANGA LA TAIFA NZIMA SIO TEKU PEKEE. MWAKATAGE TUMAINI TEKU/BAED/HK/10580

    ReplyDelete
  52. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  53. UKIMWI NI HATARI SANA TUJIADHALI. SOMBO LUSUBISYO. TEKU/BAED/GK/11295

    ReplyDelete
  54. Ni kweli kabisa suala la ukimwi lipo katika taasisi yetu. Suala hili limekuwa la siri sana ndiyo maana inakuwa vigumu kulitambua. Hivyo cha msingi ni kuchukua taadhari kila mmoja wetu kwa naama inavyo wezekana.
    MWANJISI MATHIAS R.
    TEKU/BEL/KE/111054

    ReplyDelete
  55. SUALA LA UKIMWI LIPO NA MAAMBUKIZI YANAZIDI KWA SABABU WATU 1.WATU WANASHIRIKIANA KIMWILI BILA YA KUPIMA AFYA ZAO
    2.SUALA LA KIPATO KWA BAADHI YA MIEZI KAMA HII UKIZINGATIA MKOPO UMEISHA ILI WAWEZE KUPATA PESA YA KULA KWA WENYE AKILI CHACHE WANAFANYA IVO.
    HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641

    ReplyDelete
  56. UKIMWI HAUKWEPEKI KWA CHUO CHA TEKU UKIZINGATIA HAPA KUNA WATOTO WA MAMA SALMA AMBAO WALIKWISHA ATHIRIKA TOKA MUDA MREFU LAKINI WANAENDELEA NA MASOMO YAO NAO WANAWAAMBUKIZA WATU WENGINE KWA KASI KUBWA SANA
    HYERA OSTINA TEKU/BAED/HK/11640

    ReplyDelete
  57. WAATHIRIKA WA UKIMWI WAPO WENGI KWA CHUO CHA TEKU NA KUMBUKA HAUWEZI KUWATAMBUA KWA KUWAANGALIA USONI ILA NI KWA VIPIMO VYA DAKTARITU KWA HIYO TUWE WAANGALIFU TUNAPOFANYA MAHUSIANO.
    NDUNGURU DORICE E. TEKU/BAED/HK/11819

    ReplyDelete
  58. ILI KUWERZA KUJIKINGA NA JANGA LA UKIMWI YAFUATAYO YAZINGATIWE
    1.KUTUMIA KONDOMU MARA MOJA KWA KILA TENDO
    2.KUWA NA MPENZI MMOJA MWAMINIFU
    3.KWENDA KUPIMA AFYA ZENU MARA KWA MARA WALAO KILA BAADA YA MIEZI SITA
    HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641

    ReplyDelete
  59. ANNASTAZIA GASPER15 January 2014 at 11:05

    KWA CHUO KIKUBWA KAMA TEKU MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NI YA HALI YA JUU SANA ILI KUWEZA KUZUIA
    1.EPUKA KUCHANGIA VIFAA VYENYE NCHA KALI KAMA VILE WEMBE NA SINDANO
    2.KABLA HUJAONGEZEWA DAMU HAKIKISHA KUWA IMEPIMWA NA KUTHIBITISHWA NA DAKTARI KUWA NI SALAMA
    GASPER ANNASTAZIA K.

    ReplyDelete
  60. KWA ASILIMIA 99% WANACHUO WA TEKU KILA MMJOJA AMEACHA MCHUMBA KWAO LAKINI CHA KUSHANGAZA HAPA TEKU WAMESHAPATA TENA WENGINE ILA WAKIMALIZA CHUO KILA MMOJA ANASHIKA HAMSINI ZAKE, HALI HII SIO NZURI TUJARIBU KUJIREKEBISHA KAMA WEWE HAUMWAMINI YULE ULIYEMWACHA KWENU NAYE HAKUAMINI WEWE HATA KIDOGO TUWE WAANGALIFU KWA SABABU UKIMWI UNAUA WENGI.
    HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641

    ReplyDelete
  61. Suala maambukizi ya UKIMWI hilo ni janga la Kitaifa, na sehemuyoyote yenye mkusanyiko wa watu suala hilo halikosekani, hivyo ni vema kwa wanachuo wenzangu kuwa makini na kujenga tabia ya kujiamini wewe mwenyewe na hasa baada ya kupima na kuhakikishiwa kwamba u salama.
    MACLEAN ZAKAYO TEKU/BEL/KE/111007

    ReplyDelete
  62. Ni kweli kabisa kwamba suala la maambukizi ya ukimwi katika jamii yetu ya TEKU lipo, hii ni kutokana na ukweli kwamba kwenye mkusanyiko wa watu kama huu maambukizi hayawez kukosa, hivyo ni vema sisi kama wanachuo kuwa makini na mienendo yetu.
    HASSAN AZIZA TEKU/BEL/KE/11970

    ReplyDelete
  63. MAMBUKIZI TAPO TENA MENGI TU, HIVYO SUALA HAPA KWA WALE WENYE NDOA NI KUWA WAAMIIFU KWA NDOA ZAO NA KWA WALE AMBAO BADO KUOA AU KUOLEWA BASI WAJIHESHIMU NA KUTULIA.
    TWALIB NADHIFA, TEKU/BEL/KE/1111OO

    ReplyDelete
  64. MAMBUKIZI YANAWEZA KUISHA ENDAPO WATU WATAKUBALI KUBADILI TABIA NA KUACHA NGONO ZEMBE TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA

    ReplyDelete
  65. MAMBUKIZI YANAWEZA KUISHA ENDAPO WATU WATAKUBALI KUBADILI TABIA NA KUACHA NGONO ZEMBE TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.TEKU/BEDCP/111551 MKEMANGWA KESSY

    ReplyDelete
  66. People should not avoid to test HIV/AIDs because it is very important to understand our healthy and how to cope with our situation
    ZEPHANIA JACKSON TEKU/BEDCP/111547

    ReplyDelete
  67. HIV test is the only way of knowing a status
    RAPHAEL KIHWILI TEKU/BEDCP/111434

    ReplyDelete
  68. HIV TEST IS THE ONLY WAY OF KNOWING YOUR HEALTH
    TEKU/BEDCP/111434

    ReplyDelete