WE REMEMBER OUR SCHOOL DAYS DURING THE COURSE OF MAMA MBOYA
Translate
Saturday, 28 December 2013
Suala la Kuenea kwa Maambukizi ya UKIMWI TEKU
Samahani wadau, mnalizungumziaje suala la maambukizi ya UKIMWI katika taasisi yetu ya TEKU?
Je, Ni kweli yapo????
Je, Kuna waathirika Hapa?
na Je, tunajikinga vipi kama kizazi kilicho katika janga hili?
Maambukizi yapo jamani na tunatakiwa kuwa makini na tujihadhari vilivyo kwani tutakufa tuishe sote. Ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha usalama wa kila mmoja kwanza kwa kujihami mwenyewe kisha kuifikia jamii nzima.
It is true that in the world of this era, HIV/AIDS is vagabonding every where and to every body thus every one has to be careful on this worse and killing disease................. JAMES DAUDI M,TEKU/BEL/KE/11975
Ni kweli tatizo hili lipo, jambo la msingi ni kujilinda kabla ya kulindwa na pia kutoa elimu ya kutosha kwa jamii inayotuzunguka ili kuliepuka lisisababishe madhara makubwa zaidi! REUBEN AMAN TEKU/BEL/KE/111085
Maambukizi ya virusi vya UKIMWI yapo tena kwa asilimia 100% kwenye jumuhiya yoyote siyo TEKU pekee, suala la msingi ni kutambua uwepo wa mwenyez mungu na kupata elimu ya kutosha jinsi ya kujikinga na maambukizi hayo.KIMBE ANNA TEKU/BEL/KE/11993
Only stable mind, self protection and God's dependence can be only the remaining solution. the disease is all over the campus. TEKU/BEDCP/111466 MEDARD JOSEPH.
Ni kweli maambukizi yapo tena kwa kasi kubwa na waathirika ni sisi sote wanachuo na taifa kwa ujumla. njia tunazo tumia kujikinga na janga hili ni kukontroo tamaa zetu, kutumia kondom, kuwa muaminifu kwa mpenzi wako na muda mwingine kuachana na ngono tu. SWALLOW NESTORY TEKU/BEDCP/111540.
Maambukizi ya ukimwi yapo kwa kiasi kikubwa,tunachotakiwa kufanya wanajumuia wa Teku ni kujizuia kufanya ngono, kuwa waaminifu kwa wapenzi wetu na ikishindikana kabisa tutumie kondom. ISSA HASHIM-TEKU/BAED/GK/11195
Wapendwa maambukizi yapo, tunatakiwa kuwa makini sana kwani unaweza kumtazama mtu ukaona yuko vizuri na ukamuelewa kumbe akawa na siri kubwa ambayo ukienda haraka tu atashindwa kukupa ukweli. hivyo vijana tuwe makini na tujihadhari vilivyo
katika jumuhia yoyote kuna kila aina ya fujo au kuwa dunia uwanja wa fujo lakini mambo mengine ni magumu kuelezea kama maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa sababu kunahitajika majibu ya kitaalamu kutoka hospitalini kwa kuonesha takwimu za waathirika hivyo sisi kama wasomi tutumie busara katika KUTOA majibu yaliyo sahihi tusije kutoa majibu yasiyo sahihi kwani twaweza kupotosha jamii kwa upande mwingine kuwa teku na HIV ni damu damu. Na angalizo weWE kama umeathirika ruksa kusema lakini usiisemee jamii kwani hii ni kesi na kumbuka kuwa teku ni sehemu ya biashara ya watu so usiharibu.asante ila mie niko salama nilipima tarehe 17/12/ 2013. NTALALA JOHNSTONE TEKU/BAED/GK/11283
ndugu ZANGU katika kristo tunatambua kuwa katika kila jamii pana kila aina ya fujo kwani dunia uwanja wa fujo lakini uwezi kusema moja kwa moja kuwa kuna maambukizi ya ukimwi pasipo uthibitisho wa kitaalamu hivyo tumia busara katika kutoa majibu kwani kufanya hivyo utakuwa mmojawapo katika kumisuse technolojia. kuwa wapole kwani TEKU ni sehemu ya bihashara za watu so ogopa kesi na kupotosha jamii. jambo la muhimu kapime na mweshimu mungu. asante sana mie nimepima tarehe 17/12/2013 na niko salaama. NTALALA JOHNSTONE TEKU/BAED/GK/11283
Caution to my fellow studentz! Change your mind toward sexxxx! Nowdayz girlz who are career of HIV are xo much decorated. So' dont focus to share love with such of these girl without full worn of soks and dont stay with her whole the night. Ngojwike salumu teku/bel/ke/111070
Bila kutambua uwepo na kumuogopa mungu tumekwisha jamani, maana takwimu zinaonesha kuwa kila palipo na watu kumi mmoja ameathiri swali la kujiuliza teku tuko wangapi???
Wala hata usiogope ntalala linda damu yako vivyo hivyo, kila mtu achukue tahadhari na atambue kwamba mungu yupo na amuogope mungu bila hivyo ni hatari tupu, jambo la msingi nikumuona kila mtu ameathirika ili kuepuka dubwana hili ambalo ni tishio kwa taifa na dunia kwa ujumla.
ni kweli yapo na hasaa penye JUMUIA kama hii ya kwetu cha muhimu tufuate maadili tu ya kijamii,na taratibu za kiafya hasa kupambana na maambukizi mapya ya VVU
HATUWEZI KUKWEPA TEKU KAMA ZILIVYO JAMII NYINGINE INA KILA AINA YA TABIA AMBAZO ZIMO KATIKA JAMII NYINGINE KWAHIYO HATA MAAMBUKIZI YANAWEZA KUWEPO. NA UKWELI NI KWAMBA YAPO NI JUKUMU LA KILA MMOJA BINAFSI KUJILINDA ILI KUINUSURU FAMILIA YAKE, JAMII YAKE NA TAIFA LAKE KWA UJUMLA. HERI SHANGWE .K. TEKU/BEDCP/111423
Badili tabia kabla ya kuingia kwenye mahusiano chunguza afya yako kwanza ili uweze kumlinda umpendaye.Kuna watu wanakata tamaa ya kuishi wanaposikia wapenzi wao walipoteza maisha kwa maambukiz, si kila anayetembea na mwenye maambukiz naye kapata maambukiz.KIMBE ANNA TEKU/BEL/KE/11993
maambukizi ya ukimwi teku yapo tena kwa asilimia 76.64 ivyo basi kama wanajumuia yaTEKU yatupasa tujilinde wenyewe kwa vile tujuavyo kama watutulielimika BRUNO FORTUNATUS --TEKU/BAED/GK/11172
Do not wait till some one touch your shoulder and tells you to be careful with HIV/AIDS here at TEKU. Take your responsibility to protect yourself, the HIV is present at TEKU, because TEKU is like a community comprising a diverse number of people. FRANK SWEETBERT TEKU/BEDPSY/111136
Wakati fulani unaweza kujilaumu kwa mambo hatarishi uliyoyafanya kwa kipindi kilichopita. Lakini suala la msingi siyo kujilaumu, bali kaa miezi sita mfululizo bila kufanya ngono, halafu kapime. Kama umeathirika, kubaliana na hali halisi na kama uko salama utajuwa namna ya kuishi. Usiishi bila amani katika maisha yetu haya mafupi. MEDDA SELESTINE, R. TEKU/BEL/KE/111028.
UKIMWI- Upungufu Wa Kinga Mwilini, Takwimu zinaonesha kati ya watu 10 mmoja hadi wawili wanao na TEKU kama taasisi ya watu UKIMWI upo kwa kiwango kikubwa tu, (2) Kama Teku UKIMWI upo basi waathirika wapo (3) Kwanza watu wapime kujua afya zao, mbili watu waache masikhara UKIMWI upo na unaua"""take care of yourself"". ALLY MOHAMED, REG NO TEKU/BEDCP/111395.
Jamii hii ni kubwa sana na hivyo, uwezekano wa kuwepo kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi ni mkubwa sana. cheza salama tafadhali LWESYA RAZACK TEKU/ BEDMATHS/ DM/ 1113
Kuna uvumi jamani, uwepo wa uvumi hupelekea kuwepo ukweli, hivyo jihadhari. imani yaa mmoja mmoja itasaidia sana kutuweka salama. OMARY USAKU TEKU/ BEDCP/ 111517
in my view in this time we live now we need to be head headed coz life is change alot and only way to solve this pandemic is by us to consider our future life MCHOME CHARLES TEKU/BEDCP/ 111465
HIV/AID at Teku can be protected if all University Student should respect themselves and respect others and maintaining reputation on their behavior, also can be protected when partners using condom when participating in sex intercourse and to avoid have multiple relationship. WILLIAM AGNES TEKU/BEDPSY/111266
Ukimwi ni ugonjwa ambao unasumbua sana katika taasisi za elimu ya juu na kinachofanya tatizo hili kuwa kubwa ni kutokana na wasomi kudhalau kama ukimwi upo na una madhara makubwa katika jamii. hivyo wanajamii ya TEKU tuwe makini katika kupambana na tatizo hili. Na NTUMBITUMBI MOHAMEDI TEKU/BAED/GK/11284
Ni kweli tatizo la ukimwi lipo katika taasisi ya elimu, sababu ya tatizo kuwa kubwa linatokana na wasomi wengi kukosa elimu ya ushauri nasaha na kujitambua katika jamii umuhimu wao na majukumu yao. MASUA NEEMA TEKU/BEDCP/111458
hahaa.tena ndo kwanza unapamba moto;kwahiyo wale tulio katika ndoa utulie na wale tusio ktika ndoa tutafute wenza waaminifu na tupime kabla ya kuowana.asenteh.MLUNGU ISRAEL TEKU-BAED-GK-11255
TEKU UKIMWI NI JANGA MAANA WASOMI WENGI HAWAAMINI KUWA UKIMWI NI TATIZO HIVYO ELIMU ZAIDI ITOLEWE KATIKA JAMII YA WASOMI. MWAMJABILA GRIPHIN M TEKU/BAED/GK/10608
Ni kweli kabisa suala la ukimwi lipo katika taasisi yetu. Suala hili limekuwa la siri sana ndiyo maana inakuwa vigumu kulitambua. Hivyo cha msingi ni kuchukua taadhari kila mmoja wetu kwa naama inavyo wezekana. MWANJISI MATHIAS R. TEKU/BEL/KE/111054
SUALA LA UKIMWI LIPO NA MAAMBUKIZI YANAZIDI KWA SABABU WATU 1.WATU WANASHIRIKIANA KIMWILI BILA YA KUPIMA AFYA ZAO 2.SUALA LA KIPATO KWA BAADHI YA MIEZI KAMA HII UKIZINGATIA MKOPO UMEISHA ILI WAWEZE KUPATA PESA YA KULA KWA WENYE AKILI CHACHE WANAFANYA IVO. HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641
UKIMWI HAUKWEPEKI KWA CHUO CHA TEKU UKIZINGATIA HAPA KUNA WATOTO WA MAMA SALMA AMBAO WALIKWISHA ATHIRIKA TOKA MUDA MREFU LAKINI WANAENDELEA NA MASOMO YAO NAO WANAWAAMBUKIZA WATU WENGINE KWA KASI KUBWA SANA HYERA OSTINA TEKU/BAED/HK/11640
WAATHIRIKA WA UKIMWI WAPO WENGI KWA CHUO CHA TEKU NA KUMBUKA HAUWEZI KUWATAMBUA KWA KUWAANGALIA USONI ILA NI KWA VIPIMO VYA DAKTARITU KWA HIYO TUWE WAANGALIFU TUNAPOFANYA MAHUSIANO. NDUNGURU DORICE E. TEKU/BAED/HK/11819
ILI KUWERZA KUJIKINGA NA JANGA LA UKIMWI YAFUATAYO YAZINGATIWE 1.KUTUMIA KONDOMU MARA MOJA KWA KILA TENDO 2.KUWA NA MPENZI MMOJA MWAMINIFU 3.KWENDA KUPIMA AFYA ZENU MARA KWA MARA WALAO KILA BAADA YA MIEZI SITA HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641
KWA CHUO KIKUBWA KAMA TEKU MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NI YA HALI YA JUU SANA ILI KUWEZA KUZUIA 1.EPUKA KUCHANGIA VIFAA VYENYE NCHA KALI KAMA VILE WEMBE NA SINDANO 2.KABLA HUJAONGEZEWA DAMU HAKIKISHA KUWA IMEPIMWA NA KUTHIBITISHWA NA DAKTARI KUWA NI SALAMA GASPER ANNASTAZIA K.
KWA ASILIMIA 99% WANACHUO WA TEKU KILA MMJOJA AMEACHA MCHUMBA KWAO LAKINI CHA KUSHANGAZA HAPA TEKU WAMESHAPATA TENA WENGINE ILA WAKIMALIZA CHUO KILA MMOJA ANASHIKA HAMSINI ZAKE, HALI HII SIO NZURI TUJARIBU KUJIREKEBISHA KAMA WEWE HAUMWAMINI YULE ULIYEMWACHA KWENU NAYE HAKUAMINI WEWE HATA KIDOGO TUWE WAANGALIFU KWA SABABU UKIMWI UNAUA WENGI. HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641
Suala maambukizi ya UKIMWI hilo ni janga la Kitaifa, na sehemuyoyote yenye mkusanyiko wa watu suala hilo halikosekani, hivyo ni vema kwa wanachuo wenzangu kuwa makini na kujenga tabia ya kujiamini wewe mwenyewe na hasa baada ya kupima na kuhakikishiwa kwamba u salama. MACLEAN ZAKAYO TEKU/BEL/KE/111007
Ni kweli kabisa kwamba suala la maambukizi ya ukimwi katika jamii yetu ya TEKU lipo, hii ni kutokana na ukweli kwamba kwenye mkusanyiko wa watu kama huu maambukizi hayawez kukosa, hivyo ni vema sisi kama wanachuo kuwa makini na mienendo yetu. HASSAN AZIZA TEKU/BEL/KE/11970
MAMBUKIZI TAPO TENA MENGI TU, HIVYO SUALA HAPA KWA WALE WENYE NDOA NI KUWA WAAMIIFU KWA NDOA ZAO NA KWA WALE AMBAO BADO KUOA AU KUOLEWA BASI WAJIHESHIMU NA KUTULIA. TWALIB NADHIFA, TEKU/BEL/KE/1111OO
MAMBUKIZI YANAWEZA KUISHA ENDAPO WATU WATAKUBALI KUBADILI TABIA NA KUACHA NGONO ZEMBE TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.TEKU/BEDCP/111551 MKEMANGWA KESSY
People should not avoid to test HIV/AIDs because it is very important to understand our healthy and how to cope with our situation ZEPHANIA JACKSON TEKU/BEDCP/111547
Maambukizi yapo jamani na tunatakiwa kuwa makini na tujihadhari vilivyo kwani tutakufa tuishe sote. Ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha usalama wa kila mmoja kwanza kwa kujihami mwenyewe kisha kuifikia jamii nzima.
ReplyDeleteits
DeleteNGILANGWA, FESTO.
TEKU/ BEL/ KE/ 111069
It is true that in the world of this era, HIV/AIDS is vagabonding every where and to every body thus every one has to be careful on this worse and killing disease.................
ReplyDeleteJAMES DAUDI M,TEKU/BEL/KE/11975
Ni kweli tatizo hili lipo, jambo la msingi ni kujilinda kabla ya kulindwa na pia kutoa elimu ya kutosha kwa jamii inayotuzunguka ili kuliepuka lisisababishe madhara makubwa zaidi!
ReplyDeleteREUBEN AMAN
TEKU/BEL/KE/111085
Maambukizi ya virusi vya UKIMWI yapo tena kwa asilimia 100% kwenye jumuhiya yoyote siyo TEKU pekee, suala la msingi ni kutambua uwepo wa mwenyez mungu na kupata elimu ya kutosha jinsi ya kujikinga na maambukizi hayo.KIMBE ANNA TEKU/BEL/KE/11993
DeleteHizo takwimu za 100% ni za lini dada Anna??
DeleteRAMADHANI JAMAL TEKU/BEL/KE/111081
Maambukizi yapo,tena yakutisha,muhimu kujichunga na kucheza salama.
ReplyDeleteKILLO FABIAN,TEKU/BAED/GK/11224
may be
ReplyDeleteCHALE CHARITY TEKU/BEDCP/101469
may be what Chale? Please be specific. we need to know the extent of it around our area
ReplyDeleteHIV is something avoidable if a person comes seriously to combat it.
ReplyDeleteNGOJWIKE SALUMU TEKU/BEL/KE/111070
Only stable mind, self protection and God's dependence can be only the remaining solution. the disease is all over the campus.
ReplyDeleteTEKU/BEDCP/111466 MEDARD JOSEPH.
kweli jamani tunaangamia tusipo jiheshimu kama wasomi tamaa zimezidi miongoni mwa wanafunzi Mungu atusaidie TEKU/BEDCP/111540.
ReplyDeleteNi kweli maambukizi yapo tena kwa kasi kubwa na waathirika ni sisi sote wanachuo na taifa kwa ujumla. njia tunazo tumia kujikinga na janga hili ni kukontroo tamaa zetu, kutumia kondom, kuwa muaminifu kwa mpenzi wako na muda mwingine kuachana na ngono tu. SWALLOW NESTORY TEKU/BEDCP/111540.
ReplyDeletehaswaa ndugu, nestory
DeleteMaambukizi ya ukimwi yapo kwa kiasi kikubwa,tunachotakiwa kufanya wanajumuia wa Teku ni kujizuia kufanya ngono, kuwa waaminifu kwa wapenzi wetu na ikishindikana kabisa tutumie kondom.
ReplyDeleteISSA HASHIM-TEKU/BAED/GK/11195
Wapendwa maambukizi yapo, tunatakiwa kuwa makini sana kwani unaweza kumtazama mtu ukaona yuko vizuri na ukamuelewa kumbe akawa na siri kubwa ambayo ukienda haraka tu atashindwa kukupa ukweli. hivyo vijana tuwe makini na tujihadhari vilivyo
ReplyDeletekatika jumuhia yoyote kuna kila aina ya fujo au kuwa dunia uwanja wa fujo lakini mambo mengine ni magumu kuelezea kama maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa sababu kunahitajika majibu ya kitaalamu kutoka hospitalini kwa kuonesha takwimu za waathirika hivyo sisi kama wasomi tutumie busara katika KUTOA majibu yaliyo sahihi tusije kutoa majibu yasiyo sahihi kwani twaweza kupotosha jamii kwa upande mwingine kuwa teku na HIV ni damu damu. Na angalizo weWE kama umeathirika ruksa kusema lakini usiisemee jamii kwani hii ni kesi na kumbuka kuwa teku ni sehemu ya biashara ya watu so usiharibu.asante ila mie niko salama nilipima tarehe 17/12/ 2013.
ReplyDeleteNTALALA JOHNSTONE
TEKU/BAED/GK/11283
ndugu ZANGU katika kristo tunatambua kuwa katika kila jamii pana kila aina ya fujo kwani dunia uwanja wa fujo lakini uwezi kusema moja kwa moja kuwa kuna maambukizi ya ukimwi pasipo uthibitisho wa kitaalamu hivyo tumia busara katika kutoa majibu kwani kufanya hivyo utakuwa mmojawapo katika kumisuse technolojia. kuwa wapole kwani TEKU ni sehemu ya bihashara za watu so ogopa kesi na kupotosha jamii. jambo la muhimu kapime na mweshimu mungu. asante sana mie nimepima tarehe 17/12/2013 na niko salaama.
ReplyDeleteNTALALA JOHNSTONE
TEKU/BAED/GK/11283
Caution to my fellow studentz! Change your mind toward sexxxx! Nowdayz girlz who are career of HIV are xo much decorated. So' dont focus to share love with such of these girl without full worn of soks and dont stay with her whole the night. Ngojwike salumu teku/bel/ke/111070
ReplyDeleteTEKU without HIV/aids is possible please wait or use condoms. Samwel lucy. teku/ bel/ke/111089
ReplyDeleteBila kutambua uwepo na kumuogopa mungu tumekwisha jamani, maana takwimu zinaonesha kuwa kila palipo na watu kumi mmoja ameathiri swali la kujiuliza teku tuko wangapi???
ReplyDeleteIt is easy now
ReplyDeleteumeisha sio tumeisha
ReplyDeleteWala hata usiogope ntalala linda damu yako vivyo hivyo, kila mtu achukue tahadhari na atambue kwamba mungu yupo na amuogope mungu bila hivyo ni hatari tupu, jambo la msingi nikumuona kila mtu ameathirika ili kuepuka dubwana hili ambalo ni tishio kwa taifa na dunia kwa ujumla.
ReplyDeleteHIV is not problem but problem iz to those who are looking for it ergerly.
ReplyDeleteni kweli yapo na hasaa penye JUMUIA kama hii ya kwetu cha muhimu tufuate maadili tu ya kijamii,na taratibu za kiafya hasa kupambana na maambukizi mapya ya VVU
ReplyDeleteHATUWEZI KUKWEPA TEKU KAMA ZILIVYO JAMII NYINGINE INA KILA AINA YA TABIA AMBAZO ZIMO KATIKA JAMII NYINGINE KWAHIYO HATA MAAMBUKIZI YANAWEZA KUWEPO. NA UKWELI NI KWAMBA YAPO NI JUKUMU LA KILA MMOJA BINAFSI KUJILINDA ILI KUINUSURU FAMILIA YAKE, JAMII YAKE NA TAIFA LAKE KWA UJUMLA. HERI SHANGWE .K. TEKU/BEDCP/111423
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteBadili tabia kabla ya kuingia kwenye mahusiano chunguza afya yako kwanza ili uweze kumlinda umpendaye.Kuna watu wanakata tamaa ya kuishi wanaposikia wapenzi wao walipoteza maisha kwa maambukiz, si kila anayetembea na mwenye maambukiz naye kapata maambukiz.KIMBE ANNA TEKU/BEL/KE/11993
ReplyDeletemaambukizi ya ukimwi teku yapo tena kwa asilimia 76.64 ivyo basi kama wanajumuia yaTEKU yatupasa tujilinde wenyewe kwa vile tujuavyo kama watutulielimika BRUNO FORTUNATUS --TEKU/BAED/GK/11172
ReplyDeleteDo not wait till some one touch your shoulder and tells you to be careful with HIV/AIDS here at TEKU. Take your responsibility to protect yourself, the HIV is present at TEKU, because TEKU is like a community comprising a diverse number of people. FRANK SWEETBERT TEKU/BEDPSY/111136
ReplyDeleteEvery one should take care of him or herself...mbona hata majumbani na mitaan tulikotoka mdudu yupo
ReplyDeleteni kuwa makini tu....ngoma is every where....teku/baed/hk/11707
ReplyDeleteWakati fulani unaweza kujilaumu kwa mambo hatarishi uliyoyafanya kwa kipindi kilichopita. Lakini suala la msingi siyo kujilaumu, bali kaa miezi sita mfululizo bila kufanya ngono, halafu kapime. Kama umeathirika, kubaliana na hali halisi na kama uko salama utajuwa namna ya kuishi. Usiishi bila amani katika maisha yetu haya mafupi. MEDDA SELESTINE, R. TEKU/BEL/KE/111028.
ReplyDeleteUKIMWI- Upungufu Wa Kinga Mwilini, Takwimu zinaonesha kati ya watu 10 mmoja hadi wawili wanao na TEKU kama taasisi ya watu UKIMWI upo kwa kiwango kikubwa tu, (2) Kama Teku UKIMWI upo basi waathirika wapo (3) Kwanza watu wapime kujua afya zao, mbili watu waache masikhara UKIMWI upo na unaua"""take care of yourself"".
ReplyDeleteALLY MOHAMED, REG NO TEKU/BEDCP/111395.
UKIMWI upo kila mahali ambapo kuna watu na TEKU ikiwepo,watu wapime ili wajue afya zao na wasiishi kwa mashaka, TAKE CARE OF YOURSELF.
ReplyDeleteUkimwi TEKU upo jamani,tuwe macho kwani huwezi mtambua mgonjwa wa ukimwi kwa kumtazama kwa macho hivyo tuwe makini.
ReplyDeleteMKOMWA CECILIA.S TEKU/BEDCP/111472
Jamii hii ni kubwa sana na hivyo, uwezekano wa kuwepo kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi ni mkubwa sana. cheza salama tafadhali
ReplyDeleteLWESYA RAZACK
TEKU/ BEDMATHS/ DM/ 1113
Kuna uvumi jamani, uwepo wa uvumi hupelekea kuwepo ukweli, hivyo jihadhari. imani yaa mmoja mmoja itasaidia sana kutuweka salama.
ReplyDeleteOMARY USAKU
TEKU/ BEDCP/ 111517
UKIMWI UPO, TUJITAHIDI KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA DUNWANA HILI WANA TEKU
ReplyDeleteTEKU/ BEDCP/ 111460
MBEGU TATU
DeleteTEKU/ BEDCP/ 111460
in my view in this time we live now we need to be head headed coz life is change alot and only way to solve this pandemic is by us to consider our future life
ReplyDeleteMCHOME CHARLES
TEKU/BEDCP/ 111465
HIV/AID at Teku can be protected if all University Student should respect themselves and respect others and maintaining reputation on their behavior, also can be protected when partners using condom when participating in sex intercourse and to avoid have multiple relationship. WILLIAM AGNES
ReplyDeleteTEKU/BEDPSY/111266
Ukimwi ni ugonjwa ambao unasumbua sana katika taasisi za elimu ya juu na kinachofanya tatizo hili kuwa kubwa ni kutokana na wasomi kudhalau kama ukimwi upo na una madhara makubwa katika jamii. hivyo wanajamii ya TEKU tuwe makini katika kupambana na tatizo hili. Na NTUMBITUMBI MOHAMEDI TEKU/BAED/GK/11284
ReplyDeleteNi kweli tatizo la ukimwi lipo katika taasisi ya elimu, sababu ya tatizo kuwa kubwa linatokana na wasomi wengi kukosa elimu ya ushauri nasaha na kujitambua katika jamii umuhimu wao na majukumu yao. MASUA NEEMA TEKU/BEDCP/111458
ReplyDeleteSi kweli teku hakuna Ukimwi
ReplyDeleteSI KWELI
ReplyDeleteTuweni makini Ukimwi Upo
ReplyDeleteUkimwi Upo jamani tuweni makini
ReplyDeletehahaa.tena ndo kwanza unapamba moto;kwahiyo wale tulio katika ndoa utulie na wale tusio ktika ndoa tutafute wenza waaminifu na tupime kabla ya kuowana.asenteh.MLUNGU ISRAEL TEKU-BAED-GK-11255
ReplyDeleteNi kweli kabisa ukimwi upo, lakini watu hawashtuka, tuweni makini sana. JAMES PATRICIA TEKU/BAED/GK/11203
ReplyDeleteUkimwi ni hatari tuwe makini sana, tunapotea. CHAVALA LEONIDE TEKU/BAED/GK/11177
ReplyDeleteWasomi tuwe makini maana ukimwi TEKU upo kuweni makini sana. KONDONGELE VERONICA TEKU/BAED/GK/11216
ReplyDeleteTEKU ukimwi upo jamani tutakwisha kabla ya wakati. MWAIGOMOLE FRIDA TEKU/BAED/GK/11267
ReplyDeleteUKIMWI NI HATARI SANA TUWE MAKINI JAMANI NGOMANGO TEGEMEA TEKU/BAED/HK/10686
ReplyDeleteTEKU UKIMWI UPO JAMANI NA UNATISHA SANA KATIKA JAMII YA WASOMI, MUHIMU KUWA MAKINI. JAMES SIMON TEKU/BEDMATH/DM/11080
ReplyDeleteTEKU UKIMWI NI JANGA MAANA WASOMI WENGI HAWAAMINI KUWA UKIMWI NI TATIZO HIVYO ELIMU ZAIDI ITOLEWE KATIKA JAMII YA WASOMI. MWAMJABILA GRIPHIN M TEKU/BAED/GK/10608
ReplyDeleteNI KWELI UKIMWI NI TISHIO TUJIADHALI NAO SANA. MCHOME HELENA K. TEKU/BAED/HK/11745
ReplyDeleteUKIMWI NI JANGA LA TAIFA NZIMA SIO TEKU PEKEE. MWAKATAGE TUMAINI TEKU/BAED/HK/10580
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteUKIMWI NI HATARI SANA TUJIADHALI. SOMBO LUSUBISYO. TEKU/BAED/GK/11295
ReplyDeleteNi kweli kabisa suala la ukimwi lipo katika taasisi yetu. Suala hili limekuwa la siri sana ndiyo maana inakuwa vigumu kulitambua. Hivyo cha msingi ni kuchukua taadhari kila mmoja wetu kwa naama inavyo wezekana.
ReplyDeleteMWANJISI MATHIAS R.
TEKU/BEL/KE/111054
SUALA LA UKIMWI LIPO NA MAAMBUKIZI YANAZIDI KWA SABABU WATU 1.WATU WANASHIRIKIANA KIMWILI BILA YA KUPIMA AFYA ZAO
ReplyDelete2.SUALA LA KIPATO KWA BAADHI YA MIEZI KAMA HII UKIZINGATIA MKOPO UMEISHA ILI WAWEZE KUPATA PESA YA KULA KWA WENYE AKILI CHACHE WANAFANYA IVO.
HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641
UKIMWI HAUKWEPEKI KWA CHUO CHA TEKU UKIZINGATIA HAPA KUNA WATOTO WA MAMA SALMA AMBAO WALIKWISHA ATHIRIKA TOKA MUDA MREFU LAKINI WANAENDELEA NA MASOMO YAO NAO WANAWAAMBUKIZA WATU WENGINE KWA KASI KUBWA SANA
ReplyDeleteHYERA OSTINA TEKU/BAED/HK/11640
WAATHIRIKA WA UKIMWI WAPO WENGI KWA CHUO CHA TEKU NA KUMBUKA HAUWEZI KUWATAMBUA KWA KUWAANGALIA USONI ILA NI KWA VIPIMO VYA DAKTARITU KWA HIYO TUWE WAANGALIFU TUNAPOFANYA MAHUSIANO.
ReplyDeleteNDUNGURU DORICE E. TEKU/BAED/HK/11819
ILI KUWERZA KUJIKINGA NA JANGA LA UKIMWI YAFUATAYO YAZINGATIWE
ReplyDelete1.KUTUMIA KONDOMU MARA MOJA KWA KILA TENDO
2.KUWA NA MPENZI MMOJA MWAMINIFU
3.KWENDA KUPIMA AFYA ZENU MARA KWA MARA WALAO KILA BAADA YA MIEZI SITA
HYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641
KWA CHUO KIKUBWA KAMA TEKU MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NI YA HALI YA JUU SANA ILI KUWEZA KUZUIA
ReplyDelete1.EPUKA KUCHANGIA VIFAA VYENYE NCHA KALI KAMA VILE WEMBE NA SINDANO
2.KABLA HUJAONGEZEWA DAMU HAKIKISHA KUWA IMEPIMWA NA KUTHIBITISHWA NA DAKTARI KUWA NI SALAMA
GASPER ANNASTAZIA K.
KWA ASILIMIA 99% WANACHUO WA TEKU KILA MMJOJA AMEACHA MCHUMBA KWAO LAKINI CHA KUSHANGAZA HAPA TEKU WAMESHAPATA TENA WENGINE ILA WAKIMALIZA CHUO KILA MMOJA ANASHIKA HAMSINI ZAKE, HALI HII SIO NZURI TUJARIBU KUJIREKEBISHA KAMA WEWE HAUMWAMINI YULE ULIYEMWACHA KWENU NAYE HAKUAMINI WEWE HATA KIDOGO TUWE WAANGALIFU KWA SABABU UKIMWI UNAUA WENGI.
ReplyDeleteHYERA VITARIA TEKU/BAED/HK/11641
Suala maambukizi ya UKIMWI hilo ni janga la Kitaifa, na sehemuyoyote yenye mkusanyiko wa watu suala hilo halikosekani, hivyo ni vema kwa wanachuo wenzangu kuwa makini na kujenga tabia ya kujiamini wewe mwenyewe na hasa baada ya kupima na kuhakikishiwa kwamba u salama.
ReplyDeleteMACLEAN ZAKAYO TEKU/BEL/KE/111007
Ni kweli kabisa kwamba suala la maambukizi ya ukimwi katika jamii yetu ya TEKU lipo, hii ni kutokana na ukweli kwamba kwenye mkusanyiko wa watu kama huu maambukizi hayawez kukosa, hivyo ni vema sisi kama wanachuo kuwa makini na mienendo yetu.
ReplyDeleteHASSAN AZIZA TEKU/BEL/KE/11970
MAMBUKIZI TAPO TENA MENGI TU, HIVYO SUALA HAPA KWA WALE WENYE NDOA NI KUWA WAAMIIFU KWA NDOA ZAO NA KWA WALE AMBAO BADO KUOA AU KUOLEWA BASI WAJIHESHIMU NA KUTULIA.
ReplyDeleteTWALIB NADHIFA, TEKU/BEL/KE/1111OO
MAMBUKIZI YANAWEZA KUISHA ENDAPO WATU WATAKUBALI KUBADILI TABIA NA KUACHA NGONO ZEMBE TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA
ReplyDeleteMAMBUKIZI YANAWEZA KUISHA ENDAPO WATU WATAKUBALI KUBADILI TABIA NA KUACHA NGONO ZEMBE TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.TEKU/BEDCP/111551 MKEMANGWA KESSY
ReplyDeletePeople should not avoid to test HIV/AIDs because it is very important to understand our healthy and how to cope with our situation
ReplyDeleteZEPHANIA JACKSON TEKU/BEDCP/111547
HIV test is the only way of knowing a status
ReplyDeleteRAPHAEL KIHWILI TEKU/BEDCP/111434
HIV TEST IS THE ONLY WAY OF KNOWING YOUR HEALTH
ReplyDeleteTEKU/BEDCP/111434