Translate

Saturday, 4 January 2014

TUMEMPOTEZA MWENZETU IKIWA NI TAR.4 YA MWAKA MPYA

 Hili tukio la mwenzetu kufariki akiwa katika juhudi za kuitafuta kesho lituguse sote na tujitahidi kutenda wema kadiri tukirimiwavyo na kutubu kila tutambuapo makosa yetu.

















13 comments:

  1. Ni kweli,mwenyezi mungu atusaidie,nasi tuzidikumuomba awe pamoja nasi kila tutokapo na tuingiapo.

    ReplyDelete
  2. mungu atusaidie kwa neema yake tutende mema kwa watu wote,
    mkomwa cecilia s,TEKU/BEDCP/111472

    ReplyDelete
  3. Asante Mkomwa, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMINA

    ReplyDelete
  4. The blog is good for us especially in this course TED 501 which is about educational media and technology.
    MR. KOMBA ERENFRID- TEKU/BEDPSY/111170

    ReplyDelete
  5. Almight God let the soul of Owen Mapunda the third year student 2014 REST IN PEACE. Amen

    ReplyDelete
  6. May the eye of Lord watch upon our beloved Mr. Owen Mapunda

    LWESYA RAZACK
    TEKU/ BEDMATHS/ DM/ 1113

    ReplyDelete
  7. R. I. P. Our dear Owen Mapunda
    OMARY USAKU
    TEKU/ BEDCP/ 111517

    ReplyDelete
  8. Rest in Peace, Mr. Owen, God be with you.

    MBEGU TATU
    TEKU/ BEDCP/ 111460

    ReplyDelete
  9. Hatuijui kesho yetu, tuombe Mungu aendelee kuwa msaada wetu. tusiache kumuomba na kumsalia yeye tukiwakumbuka na wenzetu.
    Pumzika mahali pema kaka.
    MANDEWANDU ZAINABU
    TEKU/ BEL/ KE/ 111014

    ReplyDelete
  10. it is so painful, let his soul Rest in peace

    MACHUPA ROIDA,
    TEKU/BEL/KE/111006

    ReplyDelete
  11. MAYUNGA RICHARD TEKU/BAED/GEC/11151 R.I.P MR OWEN MAPUNDA,kazi yake mora haina makosa,

    ReplyDelete
  12. MUNGU amlaze mahalipema peponi na sisi tujiandae kwamaana hatujui siku wala tarehe
    TEKU/BAED/GK/11275
    MWASUMBI ELIAHN, A.

    ReplyDelete